CROHN
• • • • • •
UGONJWA WA CROHN(chanzo,dalili na tiba yake)
Ugonjwa wa crohn ni ugonjwa ambao huhusisha kinga ya mwili, ambapo katika mfumo wa kinga ya mwili hutokea hali ya kushambuliana kwa kinga ya mwili yenyewe katika maeneo mbali mbali ya mfumo wa chakula ikiwemo kuanzia mdomoni, kwenye utumbo,mpaka kwenye Njia ya haja kubwa.
DALILI ZA UGONJWA HUU WA CROHN
- Joto la mwili kupanda au mgonjwa kuwa na homa
- Kupata shida ya kujisaidia kinyesi kilichochanganyika na damu
- Kupata maumivu wakati wa kujisaidia
- Kupata maumivu ya tumbo
- Mgonjwa kuharisha
- Uzito wa mwili kushuka kwa gafla
- Mgonjwa kupata shida ya kuishiwa na damu
- Mgonjwa kuchoka sana na mwili kukosa nguvu
- Mgonjwa kupatwa na hali ya kizunguzungu
- Kupatwa na tatizo la kuvimba macho
- Kuwa na shida ya miwasho pamoja na upele kwenye ngozi
MATIBABU YA UGONJWA WA CROHN
- Kwa bahati mbaya hakuna matibabu ya moja kwa moja kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa Crohn japo kuna matibabu yanayohusu kudhibiti dalili zake.
Mfano; Kama mgonjwa anaonyesha dalili kama kupata maumivu makali ya tumbo atapewa dawa kwa ajili ya kudhibiti maumivu hayo N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!