UGONJWA WA USUBI(chanzo,dalili na tiba)
Ugonjwa wa Usubi ni ugonjwa ambao chanzo chake kikuu ni minyoo, hivo ugonjwa huu husababisha na aina ya minyoo ambayo kwa kitaalam hujulikana kama ONCHOCERCA VOLVULUS. Lakini husambazwa kutoka kwa binadamu mmoja kwenda kwa mwingine baada ya kung'atwa na nzi weusi au Blackflies.
UGONJWA HUU UMEATHIRI MIKOA MBALI MBALI HAPA NCHINI NA MIKOA AMBAYO ILIONEKANA KUWA NA HATARI YA WATU KUPATA UGONJWA WA USUBI NI KAMA VILE;
- Tanga
- Ruvuma
- Iringa
DALILI ZA UGONJWA WA USUBI NI PAMOJA NA;
1. Mgonjwa kupata viupele upele kwenye ngozi yake ya mwili
2. Mgonjwa kupatwa na shida ya upofu wa macho
3. Mgonjwa kupatwa na miwasho ya mara kwa mara kwenye ngozi yake ya mwili
4. Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa
5. Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula
6. Ngozi ya mwili kuchuchuka N.K
MATIBABU YA UGONJWA WA USUBI
Moja ya dawa kubwa ambayo hutumika kwa mtu mwenye ugonjwa wa Usubi ni pamoja na Ivermectin ambayo hutumika kuua Minyoo hii ya ONCHOCERCA VOLVULUS.
Lakini pia njia nyingine ambazo huweza kutumika ni pamoja na upuliziaji wa dawa maalumu kwa ajili ya kuua hawa Nzi weusi au BlackFlies.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Dalili za Ugonjwa wa USUBI,chanzo na Tiba yake
• • • •
UGONJWA WA USUBI
Ugonjwa wa Usubi ni miongoni mwa magonjwa ambayo huwapata watu mbali mbali,huku chanzo chake kikubwa kikiwa ni minyoo,
Katika Makala hii tunachambua Zaidi kuhusu Dalili za Ugonjwa wa USUBI,chanzo cha Ugonjwa wa Usubi pamoja na Tiba yake,
Chanzo cha Ugonjwa wa Usubi
Ugonjwa wa Usubi ni ugonjwa ambao chanzo chake kikuu ni minyoo, hivo ugonjwa huu husababishwa na aina ya minyoo ambayo kwa kitaalam hujulikana kama ONCHOCERCA VOLVULUS.
Lakini husambazwa kutoka kwa binadamu mmoja kwenda kwa mwingine baada ya kung'atwa na nzi weusi au Blackflies.
Maeneo ambayo Ugonjwa wa Usubi upo kwa kiwango kikubwa
Ugonjwa Wa Usubi Umeathiri Mikoa Mbali Mbali Hapa Nchini Na Mikoa Ambayo Ilionekana Kuwa Na Hatari Ya Watu Kupata Ugonjwa Wa Usubi Ni Kama Vile;
- Tanga
- Ruvuma
- Iringa
Dalili za Ugonjwa wa USUBI
DALILI ZA UGONJWA WA USUBI NI PAMOJA NA;
1. Mgonjwa kupata viupele upele kwenye ngozi yake ya mwili
2. Mgonjwa kupatwa na shida ya upofu wa macho
3. Mgonjwa kupatwa na miwasho ya mara kwa mara kwenye ngozi yake ya mwili
4. Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa
5. Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula
6. Ngozi ya mwili kuchuchuka n.k
Hizo ndyo baadhi ya Dalili za Ugonjwa wa Usubi
MATIBABU YA UGONJWA WA USUBI
Moja ya dawa kubwa ambayo hutumika kwa mtu mwenye ugonjwa wa Usubi ni pamoja na Ivermectin ambayo hutumika kuua Minyoo hii ya ONCHOCERCA VOLVULUS.
Lakini pia njia nyingine ambazo huweza kutumika ni pamoja na upuliziaji wa dawa maalumu kwa ajili ya kuua hawa Nzi weusi au BlackFlies.
FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara
Je,Dalili za Ugonjwa wa USUBI ni Zipi?
DALILI ZA UGONJWA WA USUBI NI PAMOJA NA;
1. Mgonjwa kupata viupele upele kwenye ngozi yake ya mwili
2. Mgonjwa kupatwa na shida ya upofu wa macho
3. Mgonjwa kupatwa na miwasho ya mara kwa mara kwenye ngozi yake ya mwili
4. Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa
5. Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula
6. Ngozi ya mwili kuchuchuka n.k
Hizo ndyo baadhi ya Dalili za Ugonjwa wa Usubi
Hitimisho
Ugonjwa wa Usubi ni miongoni mwa magonjwa ambayo huwapata watu mbali mbali,huku chanzo chake kikubwa kikiwa ni minyoo,hivo ugonjwa huu husababishwa na aina ya minyoo ambayo kwa kitaalam hujulikana kama ONCHOCERCA VOLVULUS.
Baadhi ya dalili za Ugonjwa wa Usubi ni pamoja na;Mgonjwa kupata viupele upele kwenye ngozi yake ya mwili,Mgonjwa kupatwa na shida ya upofu wa macho,Mgonjwa kupatwa na miwasho ya mara kwa mara kwenye ngozi yake ya mwili n.k
Ukiona dalili kama hizi wahi hospital kwa ajili ya uchunguzi Zaidi.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!