UMUHIMU WA KUZINGATIA USAFI WA SEHEMU ZA SIRI(kwa mwanamke na mwanaume)

 SEHEMU ZA SIRI

• • • •

UMUHIMU WA KUZINGATIA USAFI WA SEHEMU ZA SIRI(kwa mwanamke na mwanaume)


Kati ya vitu ambavyo ni muhimu ni pamoja na kuzingatia afya nzima ya sehemu za siri kwa mwanamke na mwanaume.


Usafi huo ni pamoja na kuhakikisha unaoga vzr, unasafisha maeneo ya sehemu za siri kama inavyoshauriwa na wataalam wa afya pamoja na kuondoa nywele nyingi sehemu za siri.


FAIDA ZA KUZINGATIA USAFI WA SEHEMU ZA SIRI


- Husaidia kukukinga na magonjwa mbali mbali ambayo hupenda kushambulia maeneo ya sehemu za siri kama vile FANGASI


- Huleta afya ya uzazi kwa sehemu zako za siri


- Husaidia kujikinga na magonjwa kama vile UTI


- kwa wanawake inasaidia sana wasipate na tatizo la maambukizi katika via vyao vya uzazi maarufu kama PID


- Husaidia kuondoa harufu mbaya kutoka sehemu za siri

N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!