VIFO KWA WATOTO WENYE SHIDA YA KUZALIWA NA UZITO MDOGO

 UZITO MDOGO

• • • • •

VIFO KWA WATOTO WENYE SHIDA YA KUZALIWA NA UZITO MDOGO


Kwa kawaida mtoto hutakiwa kuzaliwa na uzito kuanzia kilogram 2.5 mpaka 3.5,huo ndyo uzito wa wastani,Hivo basi mtoto ambaye amezaliwa akiwa na uzito mdogo zaidi ya hapo mfano; Kilogram 1.5,1 N.K. Huyo yupo kwenye kundi la watoto waliozaliwa na uzito mdogo, Na endapo kilogram zake zitazidi 3.5 Mfano; mtoto aliyezaliwa na kilogram 4, huyo yupo kwenye kundi la watoto waliozaliwa na uzito mkubwa yaani Big baby.


Je kuna madhara yoyote kwa Mtoto kuzaliwa na Uzito mdogo?


- Tafiti zinaonyesha kwamba zaidi ya asilimia 80% ya watoto million 2.5  duniani wanaofariki kila mwaka walizaliwa na shida ya Uzito mdogo.


KUMBUKA; Moja ya sababu ya mama mjamzito kuzaa mtoto mwenye uzito mdogo sana ni pamoja na; matumizi ya pombe kipindi chake cha ujauzito.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE LILE, TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!