VIRUSI VYA UKIMWI HUONEKANA BAADA YA MUDA GANI?(Swali la watu wengi,Majibu hapa..!!)
KIPIMO CHA UKIMWI
• • • • •
VIRUSI VYA UKIMWI HUONEKANA BAADA YA MUDA GANI?(Swali la watu wengi,Majibu hapa..!!)
Je mtu baada ya kufanya mapenzi itachukua muda gani kupata majibu kwenye kipimo cha Ukimwi?
Kipimo cha Ukimwi maarufu kama Rapid Antibody Test hutoa majibu kwa zaidi ya 98% ya watu waliopima kwa kipindi cha Miezi mitatu(3), japo wapo wachache ambao majibu huanza kuonekana kwenye kipimo cha Ukimwi hata kabla ya Miezi mitatu kuisha.
Hiv basi kulingana na kuwa idadi kubwa ya Watu hupata majibu sahihi kuanzia Miezi mitatu wakipima kwenye kipimo hiki cha Ukimwi, inashauriwa mtu baada ya kupima kwa mara ya kwanza arudie tena baada ya miezi mitatu ili kupata majibu sahihi.
•
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!