SODA
• • • • •
CHUPA MOJA YA SODA INA KIWANGO GANI CHA SUKARI?(soma kufahamu)
Miongoni mwa vitu ambavyo watu wametokea kuvipenda sana ni unywaji wa soda hasa zikiwa zabaridi.
Lakini bila shaka ukawa miongoni mwa watu ambao wamewahi kusikia watu wakiambiana katika jamii kwamba" we una sukari? usinywe soda kabsa ni mbaya ina sukari nyingi"
Je ni sahihi dhana hii? au soda ina kiwango gani cha sukari? soma hapa kufahamu,
CHUPA MOJA YA SODA INA KIWANGO GANI CHA SUKARI?(soma kufahamu)
- Tafiti zinaonyesha kwamba chupa moja ya soda yenye ujazo wa ml 330 huweza kuwa na angalau kiwango cha gram 35 za sukari ambazo ni sawa na wastani wa vijiko 9 vya mezani,
Wakati huo huo, Chupa ya soda yenye ujazo wa ml 500 huweza kuwa na angalau gram 50 za sukari sawa na wastani wa vijiko 12 vya mezani. Cr: @afyainfo
Hivo kuwa muangalifu na kudhibiti kiwango cha matumizi ya soda kila siku.
Kwani kinga ni bora kuliko tiba
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!