DAWA YA KUTIBU PID(maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke)

  PID

• • • • 

DAWA YA KUTIBU PID(maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke)


PID ni ugonjwa ambao kirefu chake ni Pelvic Inflammatory disease na maana yake ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke.


Ugonjwa huu huwapata na kuwaathiri wanawake japo wanaume huweza kuhifadhi vimelea hivi na kuvisambaza yaani carrier.


UGONJWA WA PID HUAMBATANA NA DALILI MBALI MBALI KAMA VILE;


- Mwanamke kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa


- Mwanamke kupata maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi hadi wengine kufikia hatua ya kulazwa hospitalini


- Mwanamke kutokwa na uchafu wenye rangi kama ya njano ukeni


- Mwanamke kutoa maji maji ukeni kila mara ambayo huambatana na harufu mbaya


- Mara chache pia kupatwa na miwasho maeneo ya ukeni


MATIBABU YA UGONJWA WA PID


✓ Maambukizi haya katika via vya uzazi vya mwanamke yaani PID huweza kutibiwa kwa dawa mbali mbali ikiwa ni pamoja na Doxcycline.


Hivo ni vizuri mgonjwa kwenda hospital kufanyiwa vipimo na kuanza tiba, tatizo hili linatibika kabsa.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!