FAHAMU HILI KUHUSU PRINCE PHILIP

 PRINCE PHILIP

• • • • 

FAHAMU HILI KUHUSU PRINCE PHILIP


Katika kipindi cha Uhai wake,taarifa kutoka kwa Familia yake zinasema kwamba, 


Prince philip alishawahi kulazwa hospital kwa mwezi mzima kabla ya kuruhisiwa hapo March.


Na taarifa zinasema kwamba Prince philip alifanyiwa Upasuaji wa Moyo au kwa kitaalam tunasema Heart Surgery.


Na Upasuaji huu ulikuwa ni Kutokana na matatizo ya moyo ambayo yakimsumbua


Lakini taarifa za sababu za kifo chake hazikutolewa.


Kujua kuhusu magonjwa mbali mbali ya moyo ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa shambulio la moyo(heart attack), Bofya hapa.!


#RIP #Prince philip


Source news





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!