EMBE
• • • • •
FAIDA 11 ZA EMBE MWILINI(soma makala hii)
1. Embe hupunguza kiwango cha Cholestrol mwilini
2. Embe husaidia sana kwa wagonjwa wa Kiharusi
3. Embe husaidia kuimarisha kinga ya mwili
4. Embe husaidia kuboresha afya ya ngozi
5. Embe husaidia kwa watu wenye matatizo ya choo kigumu ikiwa ni pamoja na machungwa,Parachichi na mapapai
6. Embe husaidia katika kuzuia kansa mbali mbali mwilini
7. Embe husaidia kusafisha damu
8. Embe husaidia kuboresha uono na afya ya macho kwa ujumla wake
9. Embe husaidia kurekebisha kiwango cha Insulin mwilini
10. Embe husaidia kuimarisha pamoja na kuboresha mmeng'enyo wa chakula mwilini
11. Embe husaidia kupunguza kiwango cha Acid mwilini
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!