FAIDA ZA KULA PWEZA MWILINI

 PWEZA

• • • • •

FAIDA ZA KULA PWEZA MWILINI


Watu wengi wamekuwa wakitaniana mtaani kwamba ukila pweza au supu ya pweza unaongeza nguvu za kiume, wengine huongea kama utani lakini wengine hufahamu ukweli wa mambo.


Soma makala hii japo kwa uchache nikufahamishe siri ya pweza pamoja na faida zake mwilini.


FAIDA ZA KULA PWEZA MWILINI


- Kwa ujumla wake pweza ni chanzo bora sana cha madini ya Zinc. Ulaji wa pweza husaidia kuongeza kiwango cha Zinc mwilini 


Kitu ambacho ni faida sana katika kuleta uimara na ubora wa mbegu za mwanaume, kuongeza kasi ya mbegu pamoja na afya ya uzazi kwa mwanaume(kwa ujumla)


- Pia husaidia kuongeza nguvu za kiume kutokana na usaidiaji wa nitric oxide katika kutanua mishipa ya damu ndani ya uume kitu ambacho kitasaidia kuwe na usafirishaji wa damu bora,uume kusimama vizuri N.K


Hivo katika afya ya uzazi kwa Mwanaume ulaji wa pweza husaidia sana.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!