FAIDA ZA KUNYWA MAJI YA MOTO MWILINI(soma hapa.!)

 


MAJI

• • • • •

FAIDA ZA KUNYWA MAJI YA MOTO MWILINI(soma hapa.!)

Bila shaka unaweza kuwa mmojawapo kati ya watu ambao wamesikia kwamba maji ya moto ni dawa au kwa namna moja au nyingine umeshawahi kunywa maji ya moto kama dawa.


Je ni kweli ukinywa maji ya moto ni dawa? au dhana hii ina ukweli wowote? soma hapa


FAIDA ZA KUNYWA MAJI YA MOTO MWILINI


1. Kunywa maji ya moto husaidia kusafirisha chakula vizuri kwenye mfumo wake wa chakula pamoja na umeng'enyaji mzuri wa chakula


2. Maji ya moto husaidia kwa mtu mwenye mafua,kwa kufukiza mvuke wake puani,huzibua mishipa ya damu puani pamoja na kuondoa maumivu makali ya kichwa


3. Kunywa maji ya moto husaidia kwa mtu mwenye tatizo la choo kigumu


4. Kunywa maji ya moto hasa wakati wa asubuhi husaidia sana kupunguza uzito kwa watu wenye uzito mkubwa


5. Kunywa maji ya moto husaidia kuboresha mfumo wa umeng'enyaji chakula


6. kunywa maji ya moto husaidia kutia joto mwili hasa wakati wa baridi


7. Kunywa maji ya moto husaidia kuondoa sumu mwilini kwa njia ya kupasha mwili joto na kutoa jasho kupitia vitundu vidogo vidogo vya ngozi ya mwili


8. Kunywa maji ya moto husaidia katika afya ya misuli na kuboresha mzunguko wa damu ndani ya mishipa iliyopo kwenye misuli ya mwili


9. Kunywa maji ya moto husaidia pia kuongeza kiwango cha maji mwilini kama ilivyo maji ya kawaida


10. Kunywa maji ya moto husaidia kuboresha mfumo wa kinga ya mwili, kusaidia mtu mwenye maumivu makali ya kichwa pamoja na kupunguza hali ya msongo wa mawazo kwa mtu.


Hivo kunywa maji ya moto sio tatizo, bali ina faida


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!