ZINC
• • • •
FAIDA ZA MADINI YA ZINC MWILINI(pamoja na vyakula vyenye Zinc)
- Faida mojawapo ya zinc ni pamoja na kuboresha mfumo wa uzazi kwa mwanaume
- Madini ya Zinc huimarisha sana kinga yako ya mwili
- Zinc husaidia katika kuboresha mfumo wako wa kunusa pamoja na kugundua harufu za vitu mbali mbali
- Zinc husaidia kukuwezesha kuongeza ladha ya chakula unachokula
- Madini ya zinc husaidia katika kuimarisha nguvu za kiume
BAADHI YA VYAKULA VYENYE MADINI YA ZINC NI PAMOJA NA;
1. Vyakula kama Samaki, Dagaa,pweza au vyakula vyenye asili ya baharini
2. Vyakula jamii ya Uyoga
3. Vitunguu Swaumu
4. Ulaji wa Karanga
5. Vyakula jamii ya Maharage
n.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!