FAIDA ZA MAJI YA MADAFU MWILINI

 MAJI YA MADAFU

• • • • •

FAIDA ZA MAJI YA MADAFU MWILINI


Je ushawahi kusikia watu wakisema maji ya madafu husaidia sana wanaume Mjini? Au umewahi kusikia kauli yoyote kuhusu maji ya madafu? unaweza kutuambia pia kwenye uwanja wetu wa Comment  chini ya makala hii.


FAIDA ZA MAJI YA MADAFU MWILINI


Maji ya madafu yana faida mbali mbali kwenye mwili wa binadamu japo kwa mtu ambaye ana matatizo ya Ugonjwa wowote unaohusu Figo sio salama kwake. Na faida hizo ni pamoja na;


• Maji ya madafu huweza kumsaidia sana mtu mwenye shida ya msongo wa mawazo kuondokana na shida hii au kupunguza tatizo hili.


• Maji ya madafu huweza kuimarisha afya ya uzazi kwa wanaume ikiwa ni pamoja na nguvu za kiume au afya ya mbegu za kiume


• Maji ya madafu huweza kuwa msaada sana kwa mtu mwenye ugonjwa wa kisukari katika kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu


• Maji ya madafu pia ni mazuri sana kwa wafanya mazoezi mbali mbali ya mwili ikiwa ni pamoja na; wanaofanya jim,mazoezi ya kukimbia,N.K


• Maji ya madafu huweza kuwa msaada katika kupunguza kiwango cha sumu kwenye mwili wako


• N.K


hizo ni baadhi ya faida za maji ya madafu mwilini



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!