FAIDA ZA MATE YA ASUBUHI(usiyateme)

 MATE

• • • • •

FAIDA ZA MATE YA ASUBUHI(usiyateme)

Bila shaka kwa namna moja au nyingine umewahi kusikia watu wakisema mate ni dawa hasa yale mate ya asubuhi. Ukweli ni kwamba mate ya asubuhi yana faida nyingi mwilini.

FAIDA ZA MATE YA ASUBUHI NI PAMOJA NA;

- Mate ya asubuhi huweza kutumika kama dawa ya kuponyesha vidonda

- Mate ya asubuhi husaidia kwa mtu mwenye shida ya kutokewa na majibu

- Mate ya asubuhi huweza kusaidia kwenye ngozi ambayo ina chunusi za mara kwa mara

- Mate ya asubuhi yanaweza kukukinga na kupata viuvimbe mwilini yaani Antinflamatory properties

- Mate ya asubuhi huweza kukukinga na mashambulizi ya Bacteria

- Mate ya asubuhi husaidia katika kuimarisha afya ya ubongo na akili

- Mate ya asubuhi huimarisha uwezo wa kutunza kumbukumbu

KUMBUKA; Unashauriwa kunywa maji, au kula kitu chochote ukiamka asubuhi kabla ya kupiga mswaki na kutema mate chini, ili kuhakikisha hutemi mate ya asubuhi.

Mate haya ni muhimu sana usiyateme chini, kama ilivyo tabia ya watu wengi wakidhani kwamba ule ni uchafu unatakiwa kutolewa Nje.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!