FAIDA ZA MBOGA ZA MAJANI KWA UJUMLA WAKE

MBOGA ZA MAJANI

• • • • • •

FAIDA ZA MBOGA ZA MAJANI KWA UJUMLA WAKE


Mboga za majani zipo za aina nyingi, japo katika jamii nyingi za kiafrika watu wamekuwa na Fikra potofu kwamba, Mtu anayekula mboga za majani labda ni masikini sana au hana kipato cha kutosha.


 Hivo watu wanaokula vyakula kama nyama na vyakula vingine huonekana wamaana zaidi ya wanaokula mboga za majani.


FAIDA ZA MBOGA ZA MAJANI KWA UJUMLA WAKE


Baadhi ya faida za mboga za majani ni pamoja na;


- Mboga za majani husaidia sana katika kuimarisha kinga ya mwili na kuukinga mwili na magonjwa mbali mbali


- Mboga za majani ni chanzo kikubwa cha Vitamins kwenye mwili wako


- Mboga za majani husaidia sana kurekebisha uzito wa mwili kwa watu ambao wana shida ya uzito mkubwa


- Mboga za majani ni chanzo kikubwa cha madini mwilini


- Mboga za majani husaidia sana katika kuimarisha afya ya ngozi


- Mboga za majani husaidia kuimarisha uono kwa mtu mwenye matatizo ya macho


- Mboga za majani husaidia kuimarisha afya ya akili


- Mboga za majani husaidia katika kukukinga na magonjwa mbali mbali ya moyo

N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!