FAIDA ZA TUNDA LA FENESI MWILINI

 FENESI

• • • • •

FAIDA ZA TUNDA LA FENESI MWILINI


Tunda hili lina faida nyingi sana kwenye mwili wako na huenda kwa namna moja au nyingine ukawa hujui kabsa kwamba tunda hili ni muhimu sana.


Katika makala hii tunachambua na kukuonyesha baadhi ya Faida za tunda la fenesi, Na kukupa hamasa ya kupenda kutumia mara kwa mara tunda hili la Fenesi.


FAIDA ZA TUNDA LA FENESI MWILINI NI PAMOJA NA;


1. kuimarisha mzunguko wa damu kwenye mwili wako


2. Kusaidia katika kusafisha damu ndani ya mwili wako


3. Kuimarisha kwa kiasi kikubwa afya ya ngozi yako


4. Kuondoa makunyanzi na kufanya ngozi isizeeke kwa haraka


5. Kusaidia sana kwa watu wenye matatizo ya upumuaji na magonjwa yanayohusu mfumo wa hewa kama vile Asthma n.k


6. Kusaidia sana kwa watu wenye magonjwa mbali mbali ya moyo ikiwa mi pamoja na tatizo la kuziba mishipa ya damu ndani ya moyo pamoja na mishipa ndani ya moyo kuwa midogo sana kuliko kawaida


7. Kusaidia kuimarisha kinga yako ya mwili


8. Kusaidia sana katika kurahisisha mfumo mzima wa umeng'enyaji wa chakula


9. Kusaidia kukukinga na aina mbali mbali za kansa au saratani hasa zile zinazotokana na mionzi mikali ya vifaa mfano wa computer n.k


10. Tunda hili husaidia sana katika kuimarisha afya ya mapafu pamoja na kutanua mapafu vizuri


n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!