FAIDA ZA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA UZAZI KWA VIJANA

 ELIMU

• • • • •

FAIDA ZA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA UZAZI KWA VIJANA


Kuna umuhimu mkubwa kwa vijana kupata elimu ya afya na uzazi hata wakiwa mashuleni. 


FAIDA ZA UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA UZAZI KWA VIJANA NI PAMOJA NA;


- Kusaidia vijana kutambua mabadiliko makubwa ambayo hutokea katika miili yao kipindi cha ukuaji


- Kusaidia kupunguza au kuondoa kabsa tatizo la mimba katika umri mdogo


- Kusaidia kupunguza kwa kiwango kikubwa maambukizi ya magonjwa mbali mbali ya Zinaa ikiwa ni pamoja na UKIMWI


- Kusaidia kujenga jamii yenye afya bora pamoja na nguvu


N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!