FIGO
• • • •
IDADI YA WAGONJWA WA FIGO INAONGEZEKA DUNIANI(epuka haya)
1. Epuka matumizi ya pombe kwa kiasi kikubwa
2. Epuka uvutaji wa sigara
3. Dhibiti uzito wako wa mwili na kuepuka shida ya kuwa na uzito uliopitiliza
4. Epuka matumizi ya dawa hovio
5. Dhibiti kiwango cha sukari kwenye mwili wako
6. Dhibiti kiwango cha Presha au shinikizo la damu
7. Epuka kula vyakula ambavyo vina kiwango kikubwa cha mafuta
8. Jenga tabia ya kufanya mazoezi kila siku angalau kwa dakika 30
9. Tibu tatizo la UTI kama unalo,Epuka kukaa na tatizo hili bila tiba
10. Kutana na wataalam wa afya kama unahisi unaumwa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!