ITACHUKUA MUDA GANI MWANAMKE KURUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA BAADA YAKUACHA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO

 UZAZI

• • • • •

ITACHUKUA MUDA GANI MWANAMKE KURUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA BAADA YAKUACHA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO

Ukweli ni kwamba matumizi ya njia nyingi za uzazi wa Mpango husababisha mabadiliko makubwa katika mwili wa mwanamke,

Hasa njia za uzazi wa mpango zenye vichocheo ndani yake kama vile; Vidonge vya majira, Sindano au vijiti(Vipandikizi) husababisha mabadiliko makubwa kwenye mwili wa Mwanamke.

Lakini njia kama Kalenda au matumizi ya Condom hayahusishwi na kusababisha mabadiliko haya.

ITACHUKUA MUDA GANI MWANAMKE KURUDI KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA BAADA YAKUACHA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO

Ukweli ni kwamba inategemea na Njia uliyotumia, Mfano matumizi ya Njia ya uzazi wa mpango kama Sindano huweza kuchukua muda mrefu hata zaidi ya mwaka, mwanamke kurudi katika hali yake ya kawaida baada ya kuacha kutumia.

Lakini wastani wa muda baada ya kufanyiwa utafiti wa Kitaalam, inaonekana ni Wastani wa Miezi 8 Mwanamke kurudi katika hali yake yakawaida baada ya kuacha kutumia njia mbali mbali za uzazi wa mpango.

Je wewe unatumia Njia gani ya Uzazi wa Mpango?

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!