JINSI YA KUDHIBITI MAUMIVU YA KICHWA CHA MARA KWA MARA

 MAUMIVU YA KICHWA

• • • • 

JINSI YA KUDHIBITI MAUMIVU YA KICHWA CHA MARA KWA MARA


Nidhahiri kwamba kila mtu hukutwa na tatizo la maumivu ya kichwa kutokana na sababu mbali mbali, 


- Wengine huumwa na kichwa sana baada ya kufanya kazi nyingi


- Wengine huumwa na kichwa kutokana na kusoma sana kwa muda mrefu(wanafunzi)


- Wengine huumwa na kichwa sana kutokana na kutolala usiku


 - Wengine huumwa na kichwa sana kutokana na matumizi ya Njia mbali mbali za uzazi wa mpango kama sindano na vipandikizi


- Wengine huumwa na kichwa kutokana na mashambulizi mbali mbali ya magonjwa kama vile; Malaria, N.K


JINSI YA KUDHIBITI MAUMIVU YA KICHWA CHA MARA KWA MARA



Kwanza kabsa lazima ufahamu chanzo cha maumivu hayo ya kichwa ni nini

✓ Kama ni kukosa usingizi pata mda wa kutosha wa kulala

✓ Soma kiasi na fanya mambo mengine kama michezo N.K

✓ Tumia dawa au tibu ugonjwa unaokusumbua kama Malaria N.K

✓ Tumia dawa za maumivu kama Paracetamol

✓ Pima wingi wako wa damu na kama umezidi kula vitu vya kudhibiti kiwango cha damu mwilini

n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!