JINSI YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA BACTERIA UKENI(mwanamke)

BACTERIA

• • • • •

JINSI YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA BACTERIA UKENI(mwanamke)


Ukweli ni kwamba wanawake wengi husumbuliwa na maambukizi ya bacteria ya mara kwa mara sehemu zao za siri, huku wengine kufikia hatua ya kuwa na tatizo la UTI sugu licha ya kutumia dawa nyingi sana.


Moja ya maambukizi ambayo huwatesa wanawake wengi ni maambukizi ya bacteria kwenye mfumo mzima wa mkojo yaani UTI.


MAMBO YA KUFANYA ILI KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA BACTERIA UKENI


- Mwanamke kuepuka tabia ya kuweka vitu mbali mbali sehemu za siri mara kwa mara kama vile; Vidole, sex toys N.K


- Mwanamke kuepuka kujisafisha kutoka nyuma kwenda mbele baada ya kujisaidia chooni


- Epuka matumizi ya maji ambayo yamekaa kwa muda mrefu chooni


- Epuka matumizi ya vyoo vichafu


- Epuka matumizi ya vitu vyenye kemikali kama baadhi ya sabuni kujisafisha ukeni


- Epuka kuvaa nguo za ndani ambazo hubana sana


- Vaa nguo za ndani zenye material ya pamba zaidi


- Usivae nguo ya ndani kwa muda mrefu au badilisha tu pale inapoloa au kuchafuka


- Usivae nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri


- Epuka kushirikiana tendo la ndoa na mtu ambaye ana dalili za magonjwa ya zinaa


N.K

.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!