JINSI YA MWANAMKE KUJISITIRI WAKATI WA HEDHI

 HEDHI

• • • • •

JINSI YA MWANAMKE KUJISITIRI WAKATI WA HEDHI


Moja ya kiashiria kwamba yai la mwanamke linapevushwa au linatoka kwenye vifuko vyake vya mayai(ovaries) na kuingia kwenye mirija ya uzazi(fallopian tubes) ni pamoja na mwanamke kuona siku zake za hedhi, 


ndyo maana baadhi ya wanawake huhangaika sana wanapokosa siku zao za hedhi kwani wanajiuliza maswali mengi, je wana mimba? au shida iko wapi.


JINSI YA MWANAMKE KUJISITIRI WAKATI WA HEDHI


- Hakikisha unakuwa msafi muda wote, kwani hali ya uchafu huweza kusababisha wewe kupatwa na magonjwa mbali mbali

- Hakikisha unabadilisha pedi kila mara inapoloa damu

- Usikae na pedi chafu kwa muda mrefu

- Hakikisha unachagua pedi yenye material ya pamba ambayo huweza kufyoza damu vizuri wakati wa hedhi



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!