AFYA KWA MTOTO
• • • • •
KUCHANGIA KIJIKO NA MTOTO(wakati wa kumlisha)
Wazazi wengi au walezi wengi huchangia kijiko kimoja cha chakula na mtoto wakati wa kumlisha eti ili kuangalia kuwa chakula kimepoa au kama njia ya kumfanya mtoto aweze kula kwa haraka.
Tabia hii sio salama kabsa kwa afya ya mtoto wako, fahamu kwamba unaweza kutoa vimelea mbali mbali vya magonjwa kutoka kwako kupeleka kwa mtoto kwa njia hii ya mdomo.
Acha tabia hii ya kumlisha mtoto huku ukiwa unashare kijiko kimoja na mtoto, hata kama ni mtoto wako wa kumzaa, bado sio salama kwa afya yake
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!