KULALIA TUMBO KUNA FAIDA GANI?

 TUMBO

• • • •

KULALIA TUMBO KUNA FAIDA GANI?


Japo tunashauriwa watu kupendelea kulala ubavu hasa kwa mama mjamzito hushauriwa kulalia ubavu wake wa Kushoto, ila kulalia tumbo nako kuna faida zake.


Tafiti za wataalam wa afya zinaonyesha kwamba, mtu mwenye shida au matatizo katika upumuaji,akilalia tumbo humsaidia katika kuimarisha upumuaji wake,


Kwani kulalia tumbo husaidia kuepuka kugandamisha mapafu pamoja na tumbo lake


Kumbuka; Unaweza kulala ubavu au tumbo kwa wakati mwingine ila kulala kifudifudi sio mlalo mzuri kwako



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE LILE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!