MDOMONI
• • • • •
KUVUJA DAMU MDOMONI WAKATI WA KUPIGA MSWAKI(chanzo)
Hili ni swali kutoka kwa mmoja ya wafwatiliaji wetu aliuliza hivi;
" Mimi navuja damu mdomoni na nimeshangaa wakati napiga mswaki ndyo nmeona damu, chanzo cha tatizo hili ni nini?"
MAJIBU;
Chanzi cha kuvuja damu mdomoni wakati wa kupiga mswaki huweza kusababishwa na sababu kuu mbili kama ifuatavyo;
1. Kwanza huweza kusababishwa na wewe mwenye kuchubua ngozi ya mdomo au fizi za meno wakati unapiga mswaki
2. Sababu ya pili ni Ugonjwa; Hapa nazungumzia ugonjwa ambao hujulikana kama Hijabu/ Kiseyeye/ au scurvy.
Ugonjwa wa hijabu ni ugonjwa ambao hutokana na ukosefu wa vitamini C mwilini, ambapo kwa jina lingine hujulikana kama Kiseyeye au kwa kitaalam hujulikana kama Scurvy.
DALILI ZA UGONJWA WA HIJABU NI PAMOJA NA;
- Mgonjwa kuvuja damu maeneo mbali mbali mwilini kama vile puani,mdomoni, kwenye fizi N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!