MADHARA YA GROUP LA DAMU RHESUS FACTOR NEGATIVE(kwa mama mjamzito)

 MJAMZITO

• • • • •

MADHARA YA GROUP LA DAMU RHESUS FACTOR NEGATIVE(kwa mama mjamzito)


Kwa asilimia kubwa ya Watu wana makundi ya damu(Blood group) rhesus factor Positive mfano; A+, AB+, O+ N.K


Hivo basi kama umeandikiwa hospital A+ tafsri yake ni kwamba wewe una Kundi la damu(Blood group) A lakini rhesus factor POSTIVE.


Shida inakuja pale ambapo Mume wako ana kundi la Damu lolote lile ila rhesus factor postive Mfano; A+, AB+ N.K wakati wewe una kundi lolote la damu rhesus factor negative mfano; A-, AB- N.K


Baada ya wewe kuwa mjamzito unakuwa kwenye hatari ya mimba kuharibika zenyewe au kuzaa mtoto mwenye tatizo la kukosa hewa,damu N.K na hata kupoteza maisha ndani ya muda mfupi baada ya kuzaliwa, na shida hii kwa asilimia kubwa hutokea kwenye ujauzito wako wa pili.


Hivo basi, kuna umuhimu sana wa kupima kundi lako la damu kwanza kabla ya kubeba mimba, na baada ya kugundua kwamba wewe una group la damu rhesus factor negative utaanza dose ya ANT-D, hivo utaanza kuchoma sindano hizi na utakuwa salama kabsa.


Hivo pima group lako la damu, na kama kuna shida utaanza kupata tiba.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!