MKOJO
• • • • •
MADHARA YA KUBANA MKOJO KWA MUDA MREFU
Nidhahiri kwamba mtu huweza kubana mkojo kutokana na mazingira aliyo nayo kwa wakati huo.
Ila hali hii ikiwa ni kila mara mtu anabana mkojo,huleta madhara mbali mbali kwenye mwili wake.
Moja ya madhara ya mtu kubana mkojo kwa muda mrefu kila mara ni pamoja na;
- Kujisababishia maumivu makali ya kibofu
- Kuchosha misuli ya kibofu ikiwa ni pamoja na kupoteza uwezo wa kibofu cha Mkojo kudhibiti mkojo
- Kuwa katika hatari ya kupatwa na magonjwa ya Figo
- Kuwa katika hatari ya kushambuliwa mara kwa mara na ugonjwa wa UTI
KUMBUKA; Kipindi kukiwa na hali ya baridi sana, Mwili hutoa maji kwa Njia moja ya mkojo, mbali na njia nyingine kama jasho N.K kipindi cha joto.
Hivo basi katika kipindi hiki,ndyo mtu hupatwa na hisia za kukoja mara nyingi zaidi.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!