CHIPS
• • • •
MADHARA YA KULA CHIPSI KWA MJAMZITO
Zipo tafiti mbali mbali ambazo zimefanyika kuhusu baadhi ya vyakula pamoja na madhara yake kwa mama mjamzito.
Miongoni mwa vyakula ambavyo vimezungumzwa sana ni pamoja na chakula cha Chipsi.
Madhara ya kula chipsi kwa mjamzito huweza kutokea endapo ulaji wake umekuwa wa kiasi kikubwa na kila siku au kwa muda mrefu zaidi.
Ulaji wa chips au chakula chochote kinachohusu viazi kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mrefu, huweza kuongeza sukari mwilini na kumfanya mama mjamzito kuwa katika hatari ya kupata kisukari wakati wa Ujauzito.
Hivo ulaji wa vyakula hivi hutakiwa kwa kiwango cha wastani sana au tunasema ule mlo ambao ni balance diet.
Pia epuka kula vyakula vya mafuta kwa kiwango kikubwa sana kipindi cha ujauzito,kwani vyote hivi vinaweza kuleta athari mbali mbali kwako.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!