MADHARA YA KUTUMIA CONDOM ZAIDI YA MOJA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

 CONDOM

• • • • • •

MADHARA YA KUTUMIA CONDOM ZAIDI YA MOJA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI


Kuna baadhi ya wanaume huvaa condom kuanzia mbili nakuendelea wakati wa kufanya mapenzi wakidhani kwamba ndyo huimarisha ulinzi zaidi.


Ukweli ni kwamba kuvaa condom mbili,tatu N.K wakati wa kufanya mapenzi ndyo unajiweka kwenye hatari zaidi, kwani unaweza kusababisha haya;


- Condom kupasuka kutokana na hali ya msuguano kuwa kubwa zaidi


- Kupunguza uimara wa condom yenyewe


- Kubana zaidi mishipa ya uume kitu ambacho sio kizuri kiafya


Epuka tabia hii, zingatia matumizi sahihi ya Condom ili iwe kinga na sio chanzo cha magonjwa


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!