MADHARA YA KUVAA NGUO ZA NDANI(chupi) ZENYE UNYEVU UNYEVU AMBAZO HAZIJAKAUKA VIZURI (Fangasi sehemu za siri)

 NGUO ZA NDANI

• • • • •

MADHARA YA KUVAA NGUO ZA NDANI ZENYE UNYEVU UNYEVU AMBAZO HAZIJAKAUKA VIZURI (Fangasi sehemu za siri)


Baada ya kufua nguo za ndani(chupi) baadhi ya watu huwa na tabia ya kuzivaa hata kabla hazijakauka vizuri


Moja ya kisababishi kikubwa cha fangasi maeneo ya sehemu za siri ni pamoja na tabia hii ya kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri(zenye unyevu unyevu)


Tabia hii hutengeneza mazingira mazuri sana kwa fangasi wa sehemu za siri hasa hasa Candida Albicans kuzaliana kwa wingi na kuanza kukushambulia.


Epuka tabia hii ya kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri na jikinge na fangasi wa sehemu za siri.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!