SOKSI
• • • • • •
MADHARA YA KUVAA SOKSI AMBAZO HAZIJAKAUKA VIZURI(fangasi miguuni)
soksi zinaweza kuloa au kuwa na unyevu unyevu kutokana na kunyeshewa na mvua, kufua bila kukauka vizuri, kukanyaga maji N.K
Endapo soksi zako zina unyevu unyevu au hali yoyote ya kuloa usivae soksi hizi vua mara moja.
Hali ya unyevu unyevu au kuloa kwa soksi halafu ukazivaa unatengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya fangasi wa miguuni kuzaliana na kuanza kukushambulia kwenye miguu uako.
Fangasi hawa kwa asilimia kubwa hushambulia miguuni maeneo ya vidole vyako.
Epuka tabia hii ya kuvaa soksi ambazo hazijakauka vizuri na jikinge na fangasi wa miguuni
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!