SOKSI
• • • • •
MADHARA YA KUVAA VIATU BILA SOKSI
Tafiti; Kutoka katika chuo kinachohusika na tiba juu ya magonjwa mbali mbali ya Miguu nchini Wingereza kimesema,
Miongoni mwa watu wengi wenye magonjwa ya miguu ambao wanakutana nao ni pamoja na vijana kati ya umri wa Miaka 18 mpaka 25 ambao wana tabia ya kuvaa viatu bila soksi.
Kwa kawaida miguu huzalisha jasho sana kwa wastani wa Lita 0.28 za jasho kwa siku, hivo hali hii huweza kuwa chanzo cha magonjwa kwa mtu ambaye hupenda kuvaa kiatu bila soks.
Miongoni mwa madhara ambayo huwapata watu wanaovaa viatu bila soks, ni pamoja na Kuchubuka Miguu, kuanza kunuka miguu, mashambulizi ya fangasi miguuni, maumivu ya miguu pamoja na magonjwa mengine ya miguu
Hivo japo imeonekana ni fashion sana kwa hivi sasa,ila tabia hii sio salama kwa afya ya miguu yako.
Epuka tabia ya kuvaa viatu bila soksi,
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!