VIATU
• • • • •
MADHARA YA KUVAA VIATU VYENYE UNYEVU UNYEVU
Haijalishi upo bize kiasi gani au una haraka kiasi gani, kuvaa viatu ambavyo havijakauka vizuri sio salama kwako.
Viatu vinaweza visikauke kwa namna moja au nyingine au viatu huweza kuloa kwa kukanyaga maji na kusababisha hali ya unyevu unyevu kwenye viatu.
Usivae viatu ambavyo vipo kwenye hali hii, kwani unajiweka kwenye hatari ya kupata maambukizi ya Fangasi wa miguuni
Fangasi wa miguuni huweza kukushambulia kama una tabia ya kuvaa viatu ambavyo havijakauka vizuri.
Epuka tabia hii,Kinga miguu yako na fangasi wa miguuni
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!