MADHARA YA KUWA NA HASIRA KWA MUDA MREFU

 HASIRA

• • • •

MADHARA YA KUWA NA HASIRA KWA MUDA MREFU


Katika hali ya kawaida binadamu wameumbwa na hasira ila hazitakiwi zikawa za muda mrefu kwani huleta madhara makubwa kwa mhusika.


MADHARA YA KUWA NA HASIRA KWA MUDA MREFU NI PAMOJA NA;


1. Kuwa katika hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa shambulio la moyo au kwa kitaalam Heart attack


2. Kuwa katika hatari ya kupata ugonjwa wa kiharusi(stroke)


3. Kupatwa na maumivu makali ya kichwa mara kwa mara


4. Kupatwa na tatizo la Vidonda vya tumbo


5. Kuwa na shida ya kukosa usingizi kabsa


6. Kupata shida ya maumivu makali ya tumbo


7. Kuwa na tatizo la presha


8. Kuwa na shida ya kuingiwa na woga au hofu ambayo hudumu kwa muda mrefu


9. Kubadilika mapigo ya moyo na kwenda mbio


10. Kusababisha hasara kubwa,vifo,majeruhi N.K


11. Kusababisha tatizo la Msongo wa mawazo


12.Kushusha kinga yako ya mwili


13. Kwa mama mjamzito madhara huweza kutokea hadi kwa mtoto aliyetumboni


Epuka tabia hii,jijengee tabia na mazoea ya kuwa mtu wa kukasirika na kusau ndani ya muda mfupi


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!