POMBE
• • • • •
MADHARA YA POMBE KWA AFYA YAKO
Madhara ambayo hutokana na matumizi ya pombe ni mengi kuliko faida zake, na mbaya zaidi hulenga moja kwa moja afya ya mtumiaji.
HAYA HAPA NI BAADHI YA MADHARA YA POMBE KWA MTUMIAJI
- Kupata tatizo la Figo kufeli
- Kupata matatizo ya Ini
- Kupata tatizo la vidonda vya tumbo
- Kupata tatizo la shinikizo la damu au Presha
- Kupata magonjwa mbali mbali ya Moyo
- Mtu kufukuzwa kazi
- Kuwa na shida ya Uzito kupita kiasi
- Kupata Ugonjwa wa Kisukari
- Kupata magonjwa mbali mbali ya macho ikiwa ni pamoja na kupungua uwezo wa macho kuona
- Kupata tatizo kwenye mfumo wako wa chakula ikiwa ni pamoja na umeng'enyaji wa chakula
- Kuwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu
- Kupatwa na magonjwa mbali mbali ya ubongo
- Kuathiri mfumo mzima wa uzazi kwa mwanaume ikiwa ni pamoja na nguvu za kiume kuathirika na uzalishaji wa kiwango kidogo cha mbegu hafifu za kiume(low sperm count)
- Kuvuruga na kuleta matatizo kwenye mzunguko wa hedhi kwa mwanamke
- Kushuka kwa kinga ya mwili na kuwa rahisi kushambuliwa na magonjwa mbali mbali
- Kuwa katika hatari ya kupatwa kansa au Saratani mbali mbali
- Mama kujifungua mtoto ambaye ana matatizo mbali mbali ikiwa ni pamoja na uzito mdogo au udhaifu wa viungo mbali mbali vya mwili
- Kuwa na matatizo ya mifupa
- Kuathirika na kuharibika kwa Mfumo mzima wa fahamu mwilini
N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!