MAFUTA YA ALIZETI NA FAIDA ZAKE MWILINI

ALIZETI

• • • • • •

MAFUTA YA ALIZETI NA FAIDA ZAKE MWILINI


Mafuta ya Alizeti ni mafuta ya kula ambayo yana faida nyingi sana kwenye mwili wa binadamu mbali na mafuta mengine ambayo yanatabia ya kuganda pamoja na kuleta athari mbali mbali kwa mtumiaji kama vile;


-Kuziba kwa mishipa ya damu ndani ya moyo


- Magonjwa ya Ngozi


- Kuwa na shida ya chunusi,vipele,miwasho N.K


 FAIDA ZA MAFUTA YA ALIZETI MWILINI NI PAMOJA NA;


1. Kuimarisha na kuleta afya ya Ngozi


2. Kukukinga na magonjwa mbali mbali kama vile; kuziba kwa mishipa ya damu ndani ya moyo N.K


3. Kuimarisha kinga yako ya mwili


4. Husaidia kukukinga na makunyanzi kwenye ngozi yako


5. Mafuta ya Alizeti ni chanzo kizuri cha Vitamini A na E 


6. Mafuta ya Alizeti huimarisha uono na afya ya macho


7. Mafuta ya Alizeti huweza kukukinga na magonjwa mbali mbali ya mfumo wa upumuaji kama vile Pumu N.K


8. Mafuta ya Alizeti yana kiwango kidogo cha Saturated fatty acids ambayo haitakiwi kwa wingi mwilini


KWA USHAURI ZAIDI, ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!