MAGONJWA AMBAYO HUENEZWA KWA NJIA YA NGONO

MAGONJWA YA ZINAA

• • • • • •

MAGONJWA AMBAYO HUENEZWA KWA NJIA YA NGONO


Haya hapa ni baadhi ya Magonjwa ambayo mtu huweza kuyapata baada ya kufanya Ngono/mapenzi/ tendo la Ndoa.


 Hasa hasa baada ya kufanya Ngono zembe (mapenzi bila kinga au condom) na wengine kuwa na tabia ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.


1. Ugonjwa wa ukimwi au tatizo la upungufu wa kinga mwilini


2. Ugonjwa wa kisonono maarufu kama Gono ikiwa ni kifupi cha neno Gonorhea


3. Ugonjwa wa kaswende


4. Tatizo la herpes


5. Ugonjwa wa Chlamydia


6. Tatizo la Trichomoniasis


7. Virusi vya Human Papiloma Virus Au HPV Ambazo husababisha magonjwa mbali mbali kama vile; 


- Kansa ya koo


- Kansa la Mlango wa kizazi au kwa kitaalam hujulikana kama Cervical cancer


- Tatizo la Genital warts


Ni kila Ugonjwa una dalili zake Mfano;


• Kutoa usaha kwenye sehemu za siri kwa watu wenye tatizo la Kisonono au Gono


• Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa


• Mwanamke kutokwa na damu ukeni wakati na baada ya kufanya mapenzi

N.K



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!