MVUA
• • • • •
MAGONJWA YANAYOSUMBUA WATU KIPINDI CHA MVUA
Yapo magonjwa mengi ambayo hutokea kipindi cha Mvua,baadhi ya magonjwa hayo yakiwa ya mlipuko na mengine yakiwa sio ya Mlipuko.
MAGONJWA YANAYOSUMBUA WATU KIPINDI CHA MVUA NI PAMOJA NA;
1. Ugonjwa wa kipindu pindu, kutokana na sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na uchafu wa vyoo kuchanganyika na maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu
2. Ugonjwa wa homa ya matumbo au kwa kitaalam hujulikana kama Typhoid ambapo kwa asilimia kubwa hutokana na watu kunywa maji machafu yaliyochanganyika na kinyesi cha binadamu
3. Magonjwa yote yanayohusu mchafuko wa tumbo
4. Maumivu ya tumbo mara kwa mara
5. Tatizo la watu kuharisha
6. Ugonjwa wa Malaria kutokana na mazalia mengi ya mbu kwenye maji yaliyotuama kuongezeka
7. Ugonjwa wa Dengue
N.K
Usafi ni muhimu sana katika kujikinga na magonjwa haya.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!