MBEGU ZA CHIA FAIDA ZAKE

 CHIA

• • • • •

MBEGU ZA CHIA FAIDA ZAKE 


Mbegu hizi za chia hutoa kiwango kikubwa na cha kutosha cha virutubisho muhimu sana mwilini, Na virutubisho hivo ni PROTEIN.


Tafiti za kitaalam zinaonyesha kwamba, endapo utatumia Kijiko kimoja cha Chia unapata kiwango cha Gram 2 za Protein.


Hivo mbegu hizi za chia huweza kutoka kiwango cha kutosha kabsa cha virutubisho muhimu sana mwilini vya Proteins.


jenga tabia ya kutumia mbegu hizi za chia mara kwa mara kwa ajili ya kuimarisha afya yako.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!