MBEGU ZA MABOGA NA KUONGEZA UZALISHAJI WA MAZIWA

 MBEGU ZA MABOGA

• • • •

MBEGU ZA MABOGA NA KUONGEZA UZALISHAJI WA MAZIWA


Kwa wakina mama ambao wana changamoto ya maziwa ya mtoto kutoka kwa kiasi kidogo sana,vyakula vingi vya asili pia huweza kutumika kama tiba.


Mama anayenyonyesha lazima maziwa yatoke yakutosha kwa ajili ya mtoto kunyonya na kushiba vizuri.


Fahamu hili; Mbegu za maboga ni mojawapo ya chakula kizuri kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maziwa kwa mama anayenyonyesha,


Japo wataalam wa tiba lishe hushauri chakula hiki kianze kutumika tangia mama akiwa mjamzito,hasa hasa ujauzito ukiwa na wiki 30 kwenda mbele, japo hata baada ya kujifungua mama huweza kutumia pia.


Vyakula ni tiba pia, Hivo zingatia lishe bora kwa ajili ya kuimarisha afya yako


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!