MCHANGANYIKO WA WALI MAHARAGE UNAFAIDA GANI MWILINI?

WALI MAHARAGE

• • • • • •

MCHANGANYIKO WA WALI MAHARAGE UNAFAIDA GANI MWILINI?


Ukiacha utamu wa wali maharage, wali maharage huwa ni chanzo bora sana cha protein mwilini. Mchanganyiko huo upoje?


Wali wenyewe hutoa kiwango kidogo cha Lysine na wingi wa Methionine wakati;


Maharage yakiwa na wingi wa Lysine na kutoa methionine chache


Bila shaka utakuwa umeelewa muunganiko huu jinsi ulivyobalance


Kwa maana rahisi kabisa,robo kilo ya mchele na robo kilo ya maharage vinatosha kabisa kukupa 12 grams za protini na 10 grams za nyuzilishe. Hakikisha husahau jina,Ni wali- maharage!


Cc: @afyainfo




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!