MINYOO YA HOOKWORMS(athari zake)

  HOOKWORMS

• • • • • •

MINYOO YA HOOKWORMS(athari zake)


Watu wengi hawajui kwamba minyoo ikiingia kwenye mwili wa binadamu huweza kusababisha madhara makubwa kwenye mwili wa binadamu.


Kwanza unatakiwa ufahamu kwamba sio kila minyoo huweza kuingia tumboni kwa njia ya kula chakula kichafu,udongo N.K


Minyoo huweza kupenya kwenye mwili wa binadamu kwa njia nyingine tofauti na hiyo, kama vile; Kutembea peku huweza kusababisha minyoo kupenye kwenye mwili wako kupitia miguuni hasa minyoo jamii ya HOOKWORMS.


Hivo usipende kutembea peku bila kuvaa kitu chochote miguuni hasa wale wanaolima shambani.


- Madhara ya Minyoo ya Hookworms ni pamoja na Kusababisha upungufu wa damu mwilini au kwa kitaalam tunaita Anemia,Maumivu makali ya tumbo N.K


Hivo Mtu huweza kupata tatizo la anemia kutokana na minyoo hii ya hookworms na kuanza kuonyesha dalili mbali mbali kama vile;


- Kupatwa na kizunguzungu


- Mapigo ya moyo kwenda kwa kasi sana


- Kubadilika rangi ya ngozi,macho,lips za mdomo pamoja na viganja vya mikono na kuwa paleness




KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!