MKOJO WA BIBI KIZEE UNA NINI?(soma hapa)

MKOJO

• • • • • •

MKOJO WA BIBI KIZEE UNA NINI?(soma hapa)


Mkojo wa bibi kizee umesheheni vichocheo muhimu sana katika masuala ya uzazi wa mwanaume na mwanamke.


 Mkojo wa bibi kizee ukipelekwa maabara wataalamu wanaweza kuvuna huko vichocheo vijulikanavyo kama Human menopausal gonadotropin (HMG). 


Hii HMG ni muunganiko wa vichocheo kama follicle-stimulating hormone (FSH), luteinizing hormone (LH) ambazo hizi kwa Pamoja husadia wanawake na wanaume wenye matatizo ya kupata watoto. 


Vichocheo hivi kutoka kwenye mkojo wa bibi kizee husaidia katika ukuaji na upevukaji wa mayai na husaidia katika utengenezaji,ubora na ukuaji wa mbegu za kiume

Via :doktamathew




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!