NJIA BORA YA KUJENGA AFYA YA MWILI

 CHAKULA

• • • •

NJIA BORA YA KUJENGA AFYA YA MWILI


Njia bora ya kujenga afya ya mwili wako ni kula chakula ambacho kina virutubisho vyote katika kiwango kinachotakiwa na mwili hapa namaanisha Balance diet


Chakula huweza kuwa kinga bora dhidi ya magonjwa kwa mwili wako


Chakula huweza kuwa dawa ya kukutibu magonjwa ambayo unayo


KUMBUKA; Majibu ya;


1. Upungufu wa kinga mwilini


2. Upungufu wa damu


3. Tatizo la kutokuona vizuri


4. Magonjwa mbali mbali ya ngozi


5. Maswala ya afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake ikiwa ni pamoja na swala la kupata watoto


6. Matatizo ya vichocheo mwilini


7. Mauvimbe mbali mbali mwilini


8. Magonjwa mbali mbali ya moyo


9. Maambukizi ya magonjwa kama Uti za mara kwa mara


10. Kansa mbali mbali mwilini


Huweza Kuwa ni matumizi ya Lishe bora kila siku


Fahamu kwamba; Kinga na Tiba huweza kuwa chakula au Lishe bora tu bila hata matumizi ya dawa yoyote



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!