PASAKA NJEMA
• • • • •
PASAKA NJEMA KWAKO(uwe na sikukuu Njema)
Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa afya na kututunza mpaka siku ya leo.
Pili Ninapenda kukupa shukurani zangu za dhati kwa kuendelea kushirikiana nami katika kujenga jamii yenye Afya bora.
Nakutakia Sikukuu njema ya pasaka na Amani ya mungu itawale kwako. Usherekee kwa Amani na utulivu.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!