MIMBA
• • • •
RATIBA YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NA MWANAMKE KUBEBA MIMBA
Wapo wanawake wengi wanatafta watoto na hospital wameenda sana wamefanya vipimo vyote hawana matatizo yoyote na wametumia dawa nyingi bila mafanikio yoyote.
Ukweli ni kwamba unaweza kubeba mimba bila kutumia dawa yoyote kwa kuzingatia baadhi ya mambo muhimu tu.
FAHAMU HILI; Mnaweza kupanga ratiba yenu ya kushiriki tendo la ndoa na kuepuka kukutana kimwili kila siku, kitendo ambacho huweza kuwa na faida nyingi.
kitendo hiki cha kutokufanya mapenzi kila siku huweza kusababisha mwanaume kuzalisha mbegu nyingi na zenye uwezo mkubwa hata siku akikutana na mwanamke siku za hatari uwezekano wa mwanamke kubeba mimba huwa ni mkubwa,
Tofauti na watu wanaofanya mapenzi kila siku, kwani kitendo hiki hupunguza nguvu,kasi,uwezo pamoja na wingi wa mbegu kutoka kwa mwanaume, Hivo hata uwezo wa mbegu hizo kurutubisha yai la mwanamke hupungua kwa kiasi kikubwa.
Hivo basi, Kupanga ratiba ya kufanya Tendo la Ndoa, Pamoja na kujua vizuri siku za hatari kwa mwanamke ambazo mnatakiwa kufanya mapenzi, huweza kuwa dawa tosha ya nyie kufanikiwa kupata mtoto bila hata kutumia kidonge chochote.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!