BAWASIRI
• • • • • •
TATIZO LA BAWASIRI KWA MAMA MJAMZITO
Asilimia kubwa ya wanawake wakiwa wajawazito hupatwa na tatizo la kupata Choo kigumu kwa kitaalam constipation na vile vile asilimia kubwa ya wanawake wakiwa wajawazito hupata tatizo hili la bawasiri ambapo huambatana na madhara mbali mbali kama vile;
- Mwanamke kuchubuka wakati wa kujisaidia
- Mwanamke kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
- Mwanamke kupata shida ya kutokeza nyama na kutangulia sehemu ya haja kubwa
USHAURI KWA MJAMZITO;
• Pendelea kunywa maji mengi sana
• Pendelea matumizi ya juic kwa kiasi kikubwa kuliko soda
• Epuka kukaa kwa muda mrefu sehemu moja
• Pendelea kutumia mboga za majani
• Matumizi ya matunda kama mapapai,maembe na maparachichi
•
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!