TATIZO LA KUVUNJIKA MGUU KWENYE KISIGINO

 KISIGINO

• • • • •

TATIZO LA KUVUNJIKA MGUU KWENYE KISIGINO


Moja ya changamoto ambayo watu hukumbana nayo katika maisha yao ni pamoja kuvunjika mguu,mkono,mgongo N.k


Katika makala hii tunazungumzia kuvunjika mguu maeneo ya Kisigino


TATIZO LA KUVUNJIKA MGUU KWENYE KISIGINO HUCHANGIWA NA SABABU MBALI MBALI KAMA VILE;


- Mtu kuteleza na kudondoka chini


- Mtu kupata ajali yoyote ile,iwe ya gari,pikipiki N.k


- Kudumbukiza mguu kwenye shimo wakati wa kutembea


- Kutembea vibaya na mguu kupata shida gafla


DALILI ZA MTU KUVINJA MGUU KWENYE KISIGINO


- kupata maumivu makali kwenye joint ya kisigino


- Mguu kuvimba sana kwenye kisigino


- Kupata maumivu makali wakati wa kutembea


- Kushindwa kutembea kabsa


MATIBABU YA TATIZO HILI NI PAMOJA NA;


• Matumizi ya dawa mbali mbali za maumivu


• Mgonjwa kufanyiwa upasuaji eneo hilo la kisigino


• mgonjwa kupewa aina mbali mbali za dawa zakuzuia asipate maambukizi mengine

N.K


EPUKA MAMBO HAYA;


- Usivae viatu vyenye visigino virefu


- Usitembee usiku bila mwanga wa kukusaidia kuona



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!