HEDHI
• • • • •
TATIZO LA MWANAMKE KUPATA HEDHI MFULULIZO BILA KUKATA
Mwanamke huweza kupata hedhi mfululizo bila kukata,tatizo ambalo huwapata wanawake wengi kwa hivi sasa,
Mwanamke ambaye anapata hedhi mfululizo kwa zaidi ya wiki moja Au Siku saba, sio dalili nzuri ni ishara kwamba kuna kitu hakipo sawa.
BAADHI YA SABABU ZA TATIZO HILI LA MWANAMKE KUPATA HEDHI MFULULIZO BILA KUKATA NI PAMOJA NA;
- Tatizo la mvurugiko wa vichocheo mwilini yaani kwa kitaalam hormone imbalance ambalo huchangiwa na vitu mbali mbali kama vile;
matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango kama vile; sindano, vipandikizi n.k
Tatizo hili la mvurugiko wa vichocheo mwilini ndyo sababu kubwa kwa wanawake wengi wenye shida ya kuvuja damu mfululizo bila kukata
- Sababu nyingine ni Mwanamke kupatwa na Tatizo la damu kushindwa kuganda, hali ambalo humpelekea mwanamke aendelee kuvuja damu mfululizo baada ya kuanza period.
Matatizo yote haya yanatibika kabsa na mwanamke kurudi katika hali yake ya kawaida.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!