HIJABU
• • • •
UGONJWA WA HIJABU(Kiseyeye au Scurvy) Chanzo,dalili na Tiba yake
Ugonjwa wa hijabu ni ugonjwa ambao hutokana na ukosefu wa vitamini C mwilini, ambapo kwa jina lingine hujulikana kama Kiseyeye au kwa kitaalam hujulikana kama Scurvy.
DALILI ZA UGONJWA WA HIJABU NI PAMOJA NA;
1. Mgonjwa kuvuja damu maeneo mbali mbali mwilini kama vile puani,mdomoni, kwenye fizi N.K
2. Mgonjwa kutokea na madoa doa kwenye ngozi, Mdomoni N.K
3. Mgonjwa kupatwa na hali ya uchovu kupita kiasi
4. Mgonjwa kupata maumivu katika viungo mbali mbali vya mwili wake
5. Mgonjwa kupatwa na shida ya meno kucheza cheza
6. Mgonjwa kupata vidonda mdomoni
7. Mgonjwa kupata vidonda kwenye Ulimi wake
7. Sehemu ya kifua kuingia ndani katikati
MATIBABU YA UGONJWA WA HIJABU
Endapo umeona hizo dalili hapo juu ni vizuri kwenda hosptal kwa ajili ya vipimo zaidi na kuanza tiba.
Pia vipo virutubisho mbali mbali ambavyo huweza kuongeza kwa kiwango kikubwa vitamin C.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!